• Aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu Bw. Jumanne Sagini (mwenye suti nyeusi) pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Meatu Bw. Joseph Chilongani wakitaka kujua masuala mbalimbali yanayosimamiwa na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege kutoka kwa Mhandisi wa Mamlaka Bw. Astelius John aliesimama mbele(mwenye Tshirt ya blue) walipotembelea banda la Mamlaka mapema tarehe 02/08/2020

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi mbalimbali akikata utepe kuashiria kufungua rasmi Jengo la Tatu la abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Agosti 1, 2019

  • Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa (TANROADS) Mhandisi Crispin Akoo (kwanza kushoto), Mkurugenzi Mkuu(TAA) Mhandisi Julius Ndyamukama (kwanza kulia) wakipokea mfano wa funguo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mradi (TBIII) Wolfgang Marchick wa BAM International, mara baada ya kukabidhi Jengo Mei 29,2019.

  • Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe (kushoto) akisalimiana na Mhandisi Simba Bugohe, katika ziara ya ukaguzi wa ujenzi unaoendelea Jengo la 3 la abiria katika Kiwanja cha kimataifa Julius Nyerere (JNIA), mwishoni mwa mwezi Julai.

  • Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe (aliyenyanyua mkono juu) akipokea maelekezo ya ujenzi unaoendelea eneo la maegesho ya magari Jengo la 3 la abiria katika Kiwanja cha kimataifa Julius Nyerere (JNIA), mwishoni mwa mwezi Julai.

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt John Pombe Magufuli akikata Utepe pamoja na Makamu wa Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Viongozi wengine mara baada ya Kuwasili kwa Ndege aina ya Boeing 787- 8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali

  • Picha ya pamoja ya Wadau mbalimbali wa usafiri wa anga waliohudhuria katika mkutano wa wadau uliofanyika katika ofisi za TCAA Banana Ukonga Dar es salaam.

  • WAZIRI MKUU, Mh. Kassim Majaliwa ametembelea mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) na kwamba ameridhishwa na maendeleo yake.

JENGO LA 3 LA ABIRIA JNIA KUONGEZA CHACHU YA UCHUMI

JENGO la tatu la abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA-TBIII) litaongeza chachu ya kukua kwa uchumi wa nchi, imeelezwa.

Hayo yamesemwa leo na Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipozindua jengo hilo ambalo sasa limeanza kutumika kwa safari za nje ya nchi baada ya kukamilika kwake.

Endelea Kusoma

Latest News

Welcome to TAA

Tanzania Airports Authority (TAA)  was established on 29th November 1999 vide Government Notice Number 404 of 1999 under the Executive Agency Act Number 30 of 1997. The Authority assumed the functions of the former Directorate of Aerodromes under the Ministry of Communications and Transport currently the Ministry of Works, Transport and Communications . The establishment of the Agency is part of the Government efforts in changing the public service structure which is geared towards improving service delivery

Contact Us

Tel (Gen): +255 22 2842402/3
Fax: +255 22 2844495
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
P.O.Box 18000 Dar Es Salaam

Feedback & Enquires