Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania

"Your Gateway to Global Horizons"
ISO Imethibitishwa 9001:2015; 14001:2015 & 45001:2018

Ajira

Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA), tunazingatia taratibu za Ajira za Serikali ya Jamhuri ya Tanzania, zinazotoa fursa sawa kwa watahiniwa wote. Hivyo tunazingatia misingi ya usawa na ujumuishi katika hatua zote za kuajiri. Tunaamini kwamba watumishi wenye sifa tofauti huboresha utamaduni kiutendaji na huongeza tija, ugunduzi na ubunifu. Pasipo kuangalia historia ya mtu, mwonekano na uzoefu, kila mtahiniwa wanatathminiwa ujuzi, sifa na uwezo wa kutoa mchango kwa timu yetu ya watumishi.

Kuona nafasi za ajira zilizotangazwa, tafadhali tembelea https://portal.ajira.go.tz/