Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania

"Inaunganisha Tanzania na Dunia"
ISO Imethibitishwa 9001:2015; 14001:2015 & 45001:2018

Maendeleo Ya Viwanja Vya Ndege

Maeneo
Ukarabati na Upanuzi wa Kiwanja cha ndege Musoma

Ujenzi wa barabara ya kutua na kurukia ndege, na viunganishi vya njia ya kuelekea maegesho ya ndege.

Ujenzi wa barabara ya mzunguko na maegesho ya gari

Ujenzi wa barabara za pembezoni

Ujenzi na usimikaji wa mfumo wa taa za kuongozea ndege katika njia ya kuruka na kutua ndege.

Ujenzi wa uzio wa mzunguko

Ujenzi wa kituo cha zimamoto

Taarifa za urekebishaji

Bei : 35,048,753,216.54 Tsh

Hali : OnProgress

Mfadhili : GoT

Mahali : Musoma Airport

Muda : 2 years