Tanzania Airports Authority Blog

  • Home
    Home This is where you can find all the blog posts throughout the site.
Recent blog posts

TAA representing well on the world routes forum 2014 in Chicago-USA.

The Forum brings together Aviation sector which includes Airlines and Airports all over the world with the Aim of improving business network and Routes.

Being the fruitful forum to the Tanzania Aviation Sector, several Airlines such as Hatyad from Abu Dhabi, Flydubai and Flynas have announced their new route to JNIA, Mwanza and KIA

IMG-20140923-WA0003.jpg

Hits: 2223
0

IMG_4644.JPG

Moja ya magari yaliyozinduliwa na Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe leo makao makuu ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) ikiwa ni sehemu ya magari 54 yenye thamani ya sh. milioni 840 yaliyonunuliwa na Chama cha Madereva taxi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) kwa mkopo kutoka Equity Bank kuboresha usafiri

 

IMG_4557.JPG

Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe akizungumza na wanachama wa Chama cha Ushirika cha Madereva taxi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) leo mchana makao makuu ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, Terminal I, Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Kiwanja cha JNIA, Bw. Moses Malaki.

 

IMG_4494.JPG

Waziri Mwakyembe, Mkurugenzi wa kiwanja cha JNIA, Bw. Moses Malaki (katikati)na Katibu wa Chama cha Madereva taxi, Antipas George Missana ( wa pili kushoto) wakikata utepe.

 

IMG_4498.JPG

Waziri Mwakyembe, Mkurugenzi wa kiwanja cha JNIA, Bw. Moses Malaki (katikati)na Katibu wa Chama cha Madereva taxi, Antipas George Missana ( wa pili kushoto) wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa magari hayo.

 

IMG_4530.JPG

Waziri Mwakyembe akiingia katika moja ya magari aliyoyazindua tayari kuendeshwa.

 

 IMG_4446.JPG

Baadhi ya madereva wa taxi waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa magari yao wakifuatilia hotuba ya Waziri Mwakyembe. Kwa mbali kulia ni magari yao yaliyozinduliwa.

 

IMG_4422.JPG

Baadhi ya maofisa wa Serikali waliohudhuria hafla hiyo ya uzinduzi.

 

Hits: 2801
0

Contact Us

Tel (Gen): +255 22 2842402/3
Fax: +255 22 2844495
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
P.O.Box 18000 Dar Es Salaam

Social Sites & Blog

Feedback & Enquires