Gari aina ya Toyota Pick-up yenye no STL 5570 ambayo imekabidhiwa kwa Jeshi la Zima moto  na Uokoaji Jnia leo tarehe 2/2/2018.

02-min

Kamishna  Jenerali  wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji  Bw, Thobias Andengenye wa kwanza kulia, katikati Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania Bw, Richard Mayongela na Mkuu wa Jeshi la zima moto na Uokoaji kituo cha  JNIA wakielekea eneo la makabidhiano ya gari kutoka mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania.

03-min

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege, Bw. Richard Mayongela akikabidhi funguo ya gari kwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zima moto na Uokoaji Bw, Thobias Andengenye eneo la Jeshi hilo, kituo cha JNIA mapema leo tarehe 2/2/2018.

10-min

Picha ya pamoja ya Viongozi wa Jeshi la Zima Moto kutoka Makao Makuu na JNIA na Menejimenti ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege mara baada ya makabidhiano ya gari hilo JNIA mapema leo.