Tanzania Airports Authority Blog

 • Home
  Home This is where you can find all the blog posts throughout the site.

Uncategorized

Subcategories from this category: TAA Blog

mhe nditiye 1

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano), Mhe. Mhandisi Atashasta Nditiye (wa pili kulia) akielekea kwenye chumba cha mkutano kwenye Jengo la kwanza la abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA-TBI), ambapo alikutana na wakazi wa Kipinguni, walioridhia  ili kupisha upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA). Kulia ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala (DAS), Edward Mpogolo. Wa pili kushoto ni Mbunge wa Segerea, Bonna Kalua na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Richard Mayongela (kushoto).

mhe nditiye2

aimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Richard Mayongela, akizungumza na wakazi wa Kipinguni, katika mkutano ulioitishwa na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano), Mhe. Mhandisi Atashasta Nditiye wa kupisha upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA).

mhe nditiye4

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Uchukuzi na Mawasiliano), Mhe,. Mhandisi Atashasta Nditiye akizungumza na wakazi wa Kipunguni A na Kipunguni Mashariki kuhusu kukubali kupisha upanuzi wa Kiwanja cha Kimataifa cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA). Kulia ni Katibu Tawala wa Ilala, Edward Mpogolo na Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Richard Mayongela.

mhe nditiye 3

Baadhi ya wakazi wa Kipinguni A na Kipunguni Mashariki wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, (Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano), Mhe. Mhandisi Atashasta Nditiye alipokuwa akizungumza  nao kuhusu fidia watakapopisha upanuzi wa Kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA)

Hits: 7
0

 mbarawa3

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Richard Mayongela akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao cha kukabidhi taarifa ya vyanzo vya mapato vya Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Prof. Makame Mbarawa (kushoto).

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Prof. Makame Mbarawa (kulia) akipokea taarifa ya timu ya wataalu iliyofanya majadiliano na watoa huduma/wafanyabiashara katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (MAB), Mhandisi Prof. Ninatubu Lema.

mbarawa2

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Prof. Makame Mbarawa (kulia) akizungumza baada ya kupokea taarifa ya vyanzo vya mapato vya Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA). Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Richard Mayongela.

mbarawa4

 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akisikiliza juu ya maendeleo ya Mradi wa Jengo la Tatu la Abiria kutoka kwa Mkurugenzi wa Mradi kutoka kampuni ya BAM Bw; Worfgang Marschick (katikati), na kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja Vya Ndege Tanzania (TAA), Bw; Richard Mayongela.

Hits: 7
0

Gari aina ya Toyota Pick-up yenye no STL 5570 ambayo imekabidhiwa kwa Jeshi la Zima moto  na Uokoaji Jnia leo tarehe 2/2/2018.

02-min

Kamishna  Jenerali  wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji  Bw, Thobias Andengenye wa kwanza kulia, katikati Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania Bw, Richard Mayongela na Mkuu wa Jeshi la zima moto na Uokoaji kituo cha  JNIA wakielekea eneo la makabidhiano ya gari kutoka mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania.

03-min

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege, Bw. Richard Mayongela akikabidhi funguo ya gari kwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zima moto na Uokoaji Bw, Thobias Andengenye eneo la Jeshi hilo, kituo cha JNIA mapema leo tarehe 2/2/2018.

10-min

Picha ya pamoja ya Viongozi wa Jeshi la Zima Moto kutoka Makao Makuu na JNIA na Menejimenti ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege mara baada ya makabidhiano ya gari hilo JNIA mapema leo.

 

Hits: 54
0

1

Naibu Waziri  wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Dkt. Susan Kolimba kulia  akitoa maelezo kwa   Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Mwigulu Nchemba kushoto , Naibu Waziri wa Ujenzi,  Mhandisi Atashasta Nditiye  na  Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala katikati walipofanya ziara ya kukagua Changamoto mbalimbali zilizopo kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa JNIA jijini Dar es salaam.

2

Kutoka kushoto ni Richard Mayongela  Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Viwanja vya Ndege, , Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Mwigulu Nchemba, Naibu Waziri  wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Dkt. Susan Kolimba na  Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi   Mhandisi Atashasta Nditiye walipofanya ziara kukagua changamoto mbalimbali za JNIA.

3

Naibu Waziri wa Ujenzi,  Mawasiliano na Uchukuzi  Mhandisi Atashasta Nditiye akiongozana na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania Dkt.Anna Peter Makakala wakiongozana kwenda kuwapokea Mawaziri waliofika JNIA  ili kuungana pamoja kwa ajili ya ziara ya kuangalia changamoto mbalimbali za JNIA.

4

Richard Mayongela Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Viwanja vya Ndege, akito maelezo kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Mwigulu Nchemba kushoto na  Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Atashasta Nditiye walipotembelea JNIA.

5

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala  akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano wa watu mashuhuri mara baada ya kutembelea jengo la pili la abiria na kuangalia changamoto mbalimbali katika uwanja wa JNIA.

Hits: 93
0

DSC 3221-min

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe; Prof. Makame Mbarawa akiteta jambo na Balozi wa Uholanzi  Nchini Tanzania Bw, Jeroen Verheul leo kabla ya kutembelea mradi wa  ujenzi wa Jengo la tatu la abiria katika Kiwanja cha ndege cha Julius Nyerere. Wakwanza kushoto, ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa  Mamlaka ya viwanja vya Ndege Tanzania Bw, Richard Mayongela.

Mhe; Prof. Makame Mbarawa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano akisikiliza taarifa ya Ujenzi wa Mradi wa Jengo la tatu la abiria kutoka kwa Mhandisi Burton Komba alipotembelea mradi huo katika Kiwanja cha Ndege cha Julius Nyerere.

Mhe; Prof. Makame Mbarawa Waziri wa  Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano akisikiliza taarifa ya  Ujenzi  wa Mradi wa Jengo la tatu la abiria kutoka kwa Mhandisi Burton Komba  alipotembelea mradi huo  katika Kiwanja cha Ndege cha Julius Nyerere.

Waziri wa Ujenzi, Uchuzi na Mawasiliano akisikiliza taarifa ya maendeleo ya mradi kutoka kwa msimamizi wa Ujenzi Bw, Hank katika eneo la “check in” alipotembelea Jengo la tatu la abiria mapema leo. Kulia baada ya Waziri ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania Bw, Richard Mayongela.

Waziri wa Ujenzi, Uchuzi na Mawasiliano akisikiliza taarifa ya maendeleo ya mradi  kutoka kwa msimamizi wa Ujenzi Bw, Hank katika  eneo la “check in” alipotembelea Jengo la tatu la abiria mapema leo. Kulia baada ya Waziri  ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania Bw, Richard Mayongela.

DSC 3325-min

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe; Prof. Makame Mbarawa wa nne kutoka kushoto akiendelea kupata taarifa ya mradi  katika eneo  wanapoondokea abiria  katika Jengo la tatu la abiria. Alipotembelea mradi huo leo.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano akizungumza na Vyombo vya Habari mara baada ya kutembelea mradi wa Ujenzi wa Jengo la tatu la abiria leo katika Kiwanja cha Ndege cha Julius Nyerere.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano akizungumza na Vyombo vya Habari mara baada ya kutembelea mradi wa  Ujenzi wa Jengo la tatu la abiria leo katika Kiwanja cha Ndege cha Julius Nyerere.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe; Prof. Makame Mbarawa akizungumza na Wadau na Menejimenti za Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, mara baada ya kutembelea mradi wa Jengo la tatu la abiria mapema leo. Kushoto mbele ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania Bw. Richard Mayongela.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe; Prof. Makame Mbarawa akizungumza na Wadau na Menejimenti za Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, mara baada ya kutembelea mradi wa Jengo la tatu la abiria mapema leo. Kushoto  mbele ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania Bw. Richard Mayongela.

Hits: 193
0

Contact Us

Tel (Gen): +255 22 2842402/3
Fax: +255 22 2844495
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
P.O.Box 18000 Dar Es Salaam

Social Sites & Blog

Feedback & Enquires