• Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Richard Mayongela akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao cha kukabidhi taarifa ya vyanzo vya mapato vya Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.

 • Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (kulia) akipokea taarifa ya Timu ya Wataalam ya kufanya majadiliano na watoa huduma na Wafanyabiashara katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (MAB), Mhandisi Profesa Ninatubu Lema.

 • Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege, Bw. Richard Mayongela akikabidhi funguo ya gari kwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zima moto na Uokoaji Bw, Thobias Andengenye eneo la Jeshi hilo, kituo cha JNIA mapema leo tarehe 2/2/2018.

 • Waziri wa Ujenzi, Uchuzi na Mawasiliano akisikiliza taarifa ya maendeleo ya mradi kutoka kwa msimamizi wa Ujenzi Bw, Hank katika eneo la “check in” alipotembelea Jengo la tatu la abiria mapema leo. Kulia baada ya Waziri ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania Bw, Richard Mayongela.

 • Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano), Mhandisi Atashasta Nditiye (katikati) akisikiliza jambo kutoka kwa afisa wa kampuni ya mafuta PUMA Bw, Mohamed Ngayaika, alipotembelea kiwanja cha ndege cha Julius Nyerere leo. (Kulia ni Bw. Richard Mayongela).Kaimu Mkurugenzi Mkuu TAA.

 • Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano) Mhandisi Atashasta Nditiye (katikati) akisikiliza jambo kutoka kwa Mkurugenzi wa uendeshaji TanzanAir Bw. Abdul Kadir Mohamed (alienyoosha mkono) alipotembelea ofisi hizo zilizopo ndani ya Kiwanja cha ndege cha Julius Nyerere (JNIA) . Kushoto ni Bw. Richard Mayongela Kaimu MKurugenzi Mkuu viwanja vya ndege Tanzania.

 • Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA) BW, Richard Mayongela (Aliyesimama mbele) akitoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali. Kushoto mbele ni Mhe: Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye.

 • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia Andre Bald kuashiria ufunguzi rasmi wa Uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera.

 • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia Andre Bald mara baada ya ufunguzi.

 • Mhandisi Balton Komba wa Tanroads (wan ne kushoto) akimpa maelezo ya jengo la tatu la abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA-TBIII), Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano), Mhe. Mhandisi Atashasta Nditiye (wa tatu kushoto), na Wakwanza kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Richard Mayongela.

Rehabilitation of runway at Arusha Airport (CODE 3C) to bitumen standard – Phase I – VI.

Source of Financing    
Project scope/details
 • Rehabilitation/Reconstruction of runway (1640m x 30m) to bitumen standard
 • Rehabilitation of taxiways and apron including extension of apron to bitumen standard
 • Runway stripping works and earthworks.
 • Construction of storm water drainage system
Achievement(s)/Outcome(s) upon completion                                            Improvement of safety and security to aircraft and passengers. Enhanced operational capability of the airport i.e. throughout the year (dry and rain seasons).
Project Pictures

Rehabilitation of Julius Nyerere International Airport (CODE 4E) – Phase I & II (2)

Source of Financing     
Project scope/details
 • Rehabilitation of main runway (3000m x 60m) to bitumen standard.
 • Rehabilitation of secondary runway (1000m x 30m) to bitumen standard.
 • Rehabilitation and upgrading of taxiways to CODE 4E from 4C and construction of a new parallel taxiway.
 • Rehabilitation of aprons at Terminal I (bitumen) and Terminal II (partly bitumen and partly rigid).
 • Rehabilitation of Airfield Ground Lighting System (AGL) and installation of Precision Approach.
 • Environmental works (sewerage system)
Achievement(s)/Outcome(s) upon completion                                           
 • Increased life span of the pavements.
 • Increased capacity of the airport to handle aircraft from 7 to 30 per hour.
 • An alternative Airport to Johannesburg (Oliver Tambo) International Airport of South Africa for bigger aircrafts (intercontinental flights) e.g. A380
Project Pictures

Construction of cargo apron (now passenger apron) and linking taxiways at Mwanza Airport to bitumen standard (3)

Source of Financing
Project scope/details
 • Construction of new cargo apron (now passenger apron) 22,300m 2 to bitumen standard.
 • Construction of new linking taxiways to bitumen.
 • Construction of associated storm water drainage system.
Achievement(s)/Outcome(s) upon completion                                            Increased parking capacity of the apron.
Project Pictures

Rehabilitation and Upgrading of Mpanda Airport (CODE 3C) to bitumen standard

Source of Financing      
Project scope/details
 • Rehabilitation of runway (2000m x 30m) and apron to bitumen standard.
 • Construction of runway strips and grassing.
 • Construction of storm water drainage system.
 • Construction of security fence.
Achievement(s)/Outcome(s) upon completion                                            Improvement of safety and security to aircraft and passengers. Enhanced operational capability of the airport i.e. throughout the year (dry and rain seasons)
Project Pictures

Rehabilitation and Upgrading of Kigoma Airport (CODE 4C - after extension to 3100m) to bitumen standard

Source of Financing      
Project scope/details
 • Construction of pavements; runway (1800m x 45m) and taxiways to bitumen standard.
 • Construction of storm water drainage system.
 • Runway stripping works (strengthening and grassing).
Achievement(s)/Outcome(s) upon completion                                            Improvement of safety to aircraft and passengers. Enhanced operational capability of the airport i.e. throughout the year (dry and rain seasons).

Rehabilitation and Upgrading of Tabora Airport (CODE 3C) to bitumen standard

Source of Financing      
Project scope/details
 • Construction of pavements; runway (1800m x 30m) to bitumen standard.
 • Construction of storm water drainage system.
 • Runway stripping works (strengthening and grassing).
Achievement(s)/Outcome(s) upon completion                                            Improvement of safety to aircrafts and passengers. Enhanced operational capability of the airport i.e. throughout the year (dry and rain seasons)
Project Pictures

Welcome to TAA

Tanzania Airports Authority (TAA)  was established on 29th November 1999 vide Government Notice Number 404 of 1999 under the Executive Agency Act Number 30 of 1997. The Authority assumed the functions of the former Directorate of Aerodromes under the Ministry of Communications and Transport currently the Ministry of Works, Transport and Communications . The establishment of the Agency is part of the Government efforts in changing the public service structure which is geared towards improving service delivery

Latest News

Contact Us

Tel (Gen): +255 22 2842402/3
Fax: +255 22 2844495
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
P.O.Box 18000 Dar Es Salaam

Social Sites & Blog

Feedback & Enquires