• Waziri wa Ujenzi, Uchuzi na Mawasiliano akisikiliza taarifa ya maendeleo ya mradi kutoka kwa msimamizi wa Ujenzi Bw, Hank katika eneo la “check in” alipotembelea Jengo la tatu la abiria mapema leo. Kulia baada ya Waziri ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania Bw, Richard Mayongela.

  • Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano), Mhandisi Atashasta Nditiye (katikati) akisikiliza jambo kutoka kwa afisa wa kampuni ya mafuta PUMA Bw, Mohamed Ngayaika, alipotembelea kiwanja cha ndege cha Julius Nyerere leo. (Kulia ni Bw. Richard Mayongela).Kaimu Mkurugenzi Mkuu TAA.

  • Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano) Mhandisi Atashasta Nditiye (katikati) akisikiliza jambo kutoka kwa Mkurugenzi wa uendeshaji TanzanAir Bw. Abdul Kadir Mohamed (alienyoosha mkono) alipotembelea ofisi hizo zilizopo ndani ya Kiwanja cha ndege cha Julius Nyerere (JNIA) . Kushoto ni Bw. Richard Mayongela Kaimu MKurugenzi Mkuu viwanja vya ndege Tanzania.

  • Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA) BW, Richard Mayongela (Aliyesimama mbele) akitoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali. Kushoto mbele ni Mhe: Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye.

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia Andre Bald kuashiria ufunguzi rasmi wa Uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera.

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia Andre Bald mara baada ya ufunguzi.

  • Mhandisi Balton Komba wa Tanroads (wan ne kushoto) akimpa maelezo ya jengo la tatu la abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA-TBIII), Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano), Mhe. Mhandisi Atashasta Nditiye (wa tatu kushoto), na Wakwanza kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Richard Mayongela.

  • Mkurugenzi wa Viwanja vya Ndege vya Mikoa (DRA), Bw. Valentine Kadeha (katikati) akishirikiana kupanda mti na wanafunzi wa shule ya Mpakani ya Mabibo, katika maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, iliyoadhimishwa jana kwa wafanyakazi wa taasisi mbalimbali wa Sekta ya Uchukuzi kufanya usafi nje ya Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT) na Soko la Mabibo.

  • Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi), Dr. Leonard Chamuriho akipanda mti ndani ya Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT), ikiwa ni moja ya kazi zilizofanyika jana kwenye kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, iliadhimishwa kwa kufanyika usafi maeneo ya nje ya chuo hicho na soko la Mabibo.

  • Mojawapo wa Wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege, Swalha R. Soka akishiriki zoezi la upandaji miti ndani ya Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT)

Traffic Statistics For The Year 1999

Yearly Statistics

Click on specific year to get statistics for all TAA Aerodromes.

     1999          2000          2001          2002          2003          2004          2005          2006         2007          2008    
    2009         2010         2011          2012          2013              

 Traffic Statistics For The Year 1999

S/N Airport Name Aircraft Movement
S/N Airport Name Aircraft Movemtn
S/N Airport Name Aircraft Movement
01. JNIA 21,879 20. MPANDA 0 39. MBAMBABAY 0
02. MWANZA 9,612 21. IRINGA 718 40. MKWAJA 0
03. ARUSHA 11,603 22. MAFINGA 17 41. MOMBO 0
04. MTWARA 618 23. NGARA 922 42. MOROGORO 340
05. MUSOMA 576 24. NJOMBE 25 43. MPWAPWA 0
06. TABORA 914 25. KASULU 0 44. MUFINDI/Mgololo 0
07. KIGOMA 1,525 26. KIBONDO 0 45. MVUMI 20
08. SHINYANGA 1,050 27. KILWA MASOKO 0 46. NACHINGWEA 36
09. MOSHI 2,045 28. DODOMA 2,357 47. UKEREWE 0
10. MAFIA 1,290 29. BIHARAMULO 0 48. NGARENAIROBI 0
11. LINDI 220 30. CHUNYA 0 49. INYONGA 0
12. TANGA 314 31. IFAKARA 20 50. SAME 0
13. MBEYA 937 32. KILOSA 0 51. SINGIDA 85
14. L/MANYARA 2,536 33. KIRONDOTAL 0 52. TUNDURU 0
15. LOLIONDO 134 34. KONDOA 0 53. URAMBO 0
16. BUKOBA 1,302 35. KONGWA 0 54. UTETE 0
17. MASASI 874 36. LIULI 0 55. UVINZA 0
18. SONGEA 116 37. MANYONI 0 56. KAHAMA  
19. S/WANGA 128 38.. MASWA 8 TOTAL 62,221

 

S/N Airport Name No. of Passengers
S/N Airport Name No. of Passengers
S/N Airport Name No. of Passengers
01. JNIA 586,325 20. MPANDA 0 39. MBAMBABAY 0
02. MWANZA 87,708 21. IRINGA 3,591  40. MKWAJA 0
03. ARUSHA 63,544 22. MAFINGA 112  41. MOMBO 0
04. MTWARA 25,289  23. NGARA 2,281   42. MOROGORO 834 
05. MUSOMA 4,325 24. NJOMBE 77  43. MPWAPWA 0
06. TABORA 6,992 25. KASULU 0 44. MUFINDI/Mgololo 0
07. KIGOMA 7,169   26. KIBONDO 0 45. MVUMI 0
08. SHINYANGA 11,564 27. KILWA MASOKO 0 46. NACHINGWEA 79 
09. MOSHI 7,701   28. DODOMA 6,270   47. UKEREWE 0
10. MAFIA 6,609   29. BIHARAMULO 0 48. NGARENAIROBI 0
11. LINDI 1,832  30. CHUNYA 0 49. INYONGA 0
12. TANGA 918  31. IFAKARA 54  50. SAME 0
13. MBEYA 3,484   32. KILOSA 0 51. SINGIDA 354 
14. L/MANYARA 7,431 33. KIRONDOTAL 0 52. TUNDURU 0
15. LOLIONDO 578   34. KONDOA 0 53. URAMBO 0
16. BUKOBA 10,977   35. KONGWA 0 54. UTETE 0
17. MASASI 215   36. LIULI 0 55. UVINZA 0
18. SONGEA 324   37. MANYONI 0 56. KAHAMA  
19. S/WANGA 255  38.. MASWA 14 TOTAL 846,906
S/N Airport Name Cargo (Kg)
S/N Airport Name Cargo (Kg)
S/N Airport Name Cargo (Kg)
01. JNIA 11,567,184 20. MPANDA 0 39. MBAMBABAY 0
02. MWANZA 4,455,816   21. IRINGA 0 40. MKWAJA 0
03. ARUSHA 0 22. MAFINGA 0 41. MOMBO 0
04. MTWARA 244,975  23. NGARA 0 42. MOROGORO 0
05. MUSOMA 3,002  24. NJOMBE 0 43. MPWAPWA 0
06. TABORA 11,711  25. KASULU 0 44. MUFINDI/Mgololo 0
07. KIGOMA 12,090  26. KIBONDO 0 45. MVUMI 38 
08. SHINYANGA 143,915  27. KILWA MASOKO 0 46. NACHINGWEA 0
09. MOSHI 0 28. DODOMA 0 47. UKEREWE 0
10. MAFIA 0 29. BIHARAMULO 0 48. NGARENAIROBI 0
11. LINDI 0 30. CHUNYA 0 49. INYONGA 0
12. TANGA 0 31. IFAKARA 0 50. SAME 0
13. MBEYA 0 32. KILOSA 0 51. SINGIDA 0
14. L/MANYARA 0 33. KIRONDOTAL 0 52. TUNDURU 0
15. LOLIONDO 0 34. KONDOA 0 53. URAMBO 0
16. BUKOBA 24,620  35. KONGWA 0 54. UTETE 0
17. MASASI 0 36. LIULI 0 55. UVINZA 0
18. SONGEA 0 37. MANYONI 0 56. KAHAMA 0
19. S/WANGA 0 38.. MASWA 0 TOTAL 16,463,350 

Welcome to TAA

Tanzania Airports Authority (TAA)  was established on 29th November 1999 vide Government Notice Number 404 of 1999 under the Executive Agency Act Number 30 of 1997. The Authority assumed the functions of the former Directorate of Aerodromes under the Ministry of Communications and Transport currently the Ministry of Transport. The establishment of the Agency is part of the Government efforts in changing the public service structure which is geared towards improving service delivery

Latest News

Contact Us

Tel (Gen): +255 22 2842402/3
Fax: +255 22 2844495
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
P.O.Box 18000 Dar Es Salaam

Social Sites & Blog

Feedback & Enquires